eeeeeeh
eeeeeh iyeeee faster!
ohhhhhhhh
Nilipe Nisepe
Nilipe Nisepe
Nilipe Nisepe
Nilipe!
Uliniahidi baada ya wiki mbili, sasa yapita miezi mitano
Pesa zangu ni zaidi ya laki mbili, Hujanirudishia hata senti tano
Staki kuamini we tapeli, ila upo nje ya makubaliano
Kama huna useme mi, nijue nafanyaje yeah
Unataka tusielewane, kizimbani tufikishane
eti sababu ya Money, wakati mi na we ni majirani
Unataka tusielewane, kizimbani tufikishane
eti sababu ya money, wakati mi na we ni majirani
Tuseme unanikimbia, ama!
Nini unafikiria, jama!
baada ya kukusaidia, wakati wajua nategemewa!
Tuseme unanikimbia, ama!
Nini unafikiria, jama!
baada ya kukusaidia, wakati wajua nategemewa!
wewe, wewe, wewe iyeee Fasta!
wewe iyeeeee fasta!
we! {nilipe}
ukitaka kuwa m'baya, dai chakoo
Umejenga uadui kati yangu mi na ndugu zako oohh
ukitaka kuwa m'baaaya, dai chaako
Umejenga uadui kati yangu na rafiki zako yeah
wakati unataka msaada, tuliandikishana shahidi mwenyekiti
hivi sasa ukiniona unanikwepa, unasepa ina maana hunilipi
Unataka tusielewane, (fasta!) kizimbani tufikishane (fasta!)
eti sababu ya Money (fasta!), wakati mi na we ni majirani
Tuseme unanikimbia, ama!
Nini unafikiria, jamaaaaaa!
Tuseme unanikimbia, ama!
Nini unafikiria, jama!
baada ya kukusaidia, wakati wajua nategemewa!
Tuseme unanikimbia, ama!
Nini unafikiria, jama!
baada ya kukusaidia, wakati wajua nategemewa!
Ubinadamu kazi, kaziii!
Bora umfadhili mbuzi, mbuziiii!
utamla mchuuuzi, binadamu ana maudhi!
Ubinadamu kazi wewe, Bora umfadhili mbuzi yeye
utamla mchuuuuzi, binadamu ana maudhi!
Tuseme Unanikimbia mbona, simu unanizimia jamaaaaaaaaaa!
Nilipe nisepe Fasta!
Nilipe Nisepe, Fasta!
Nilipe Nisepe, Fasta!
Nilipe Nisepe, Fasta!
Nilipe, Nisepe FASTA!
Nilipe Nisepe, Fasta!
Nilipe Nisepe, Fasta!
Nilipe Nisepe, Fasta!
Nilipe, Nisepe FASTA! Eh, Eh!