Mi naamini mapenzi yaweza ua, endapo unayempenda kakuzingua
amini ukipenda ushaumia, kidonda moyo usiku waweza lia
naamini mapenzi yaweza ua, endapo unayempenda kakuzingua
amini ukipenda ushaumia, kidonda moyo usiku waweza lia
Kwa mabaya ninayotendwa mimi, nawaza kwanini nilimpenda
mara siku kanuna kosa hakuna, anatoroka anarudi anapotaka
visa vingi anajua siwezi mwacha, anajua nampenda amening'aza
kumwacha siwezi nampenda, nahivyo yeye ananitesa
kumwacha siwezi nampenda, nahivyo yeye ananitesa
Ningejua kupenda waweza kufa, nisingependa mimi
Ningejua kupenda waweza kufa, nisingependa mimi
Mateso hayaishi kwangu
Nnayempenda anitesa mimi
Mateso hayaishi kwangu
Nnayempenda anitesa mimi
Laiti ningejua mimi, mapenzi yanaua
nisingependa mimi hadi kujiua
Laiti ningejua mimi, mapenzi yanaua
nisingependa mimi hadi kujiua
usniache njiani kama, barafu juani
ntabaki na nani mimi ukiniacha jamani
mtego samaki dia wewe ndo chambo wewe
ntabaki na nani pia, ukiniacha we mrembo
Ningejua kupenda waweza kufa, nisingependa mimi
Ningejua kupenda waweza kufa, nisingependa mimi
Mateso hayaishi kwangu
Nnayempenda anitesa mimi
Mateso hayaishi kwangu
Nnayempenda anitesa mimi
usione walia 'vyo wamependa waachwa na wenza waliowapenda
mami usinikatili utaniumiza, maumivu ya moyo sitoyaweza
usione walia 'vyo wamependa waachwa na wenza waliowapenda
mami usinikatili utaniumiza, maumivu ya moyo sitoyawezaaaaaa eeeee
aaaah baby
Ningejua kupenda waweza kufa, nisingependa mimi
Ningejua kupenda waweza kufa, nisingependa mimi
Mateso hayaishi kwangu
Nnayempenda anitesa mimi
Mateso hayaishi kwangu
Nnayempenda anitesa mimi